I am a CHAMPION!

I will conquer what has not been conquered, defeat will not be in my creed,

I will believe what others have doubted,

I will always endeavor the prestige, honor, and respect of my team,

I have trained my mind and my body will follow,

Who am I?

I am a CHAMPION!

Facebook

Saturday, November 5, 2011

"Naomba Shillingi ishuke ifikie Ths 5,000 kwa dola"

Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu mtazamo hasi (NEGATIVE PERCEPTION) wa baadhi ya watu, tena si wachache, ni wengi kweli pale mtu anapowaambia kuhusu Biashara ya ya Masoko ya Mtandao ama Network Marketing, au Multi LevelMarketing, Referral Business, Business of 21st Century, DirectSelling, Recession Proof Business, Nk.

Katika kufanya utafiti nimekutana na watu maarufu duniani wakiwamo marais, wasomi wakubwa, wafanyabiashara wakubwa duniani ambao wameamua ama kuifanya ama kuipigia debe kwa nguvu zote kwa ni mkombozi pekee anayeweza kumtoa mtu katika maisha ya chini kabisa na hatimaye kumwezesha naye kumiliki si pesa za kutosha bali nyumba na usafiri wa maana, (angalia mfano wa Bw na Bi Kayombo)  katika karne hii ya 21 ama Zama za habari (Information Age).

Nimekuwa nikijiuliza watu hawa wengi wenye mtazamo hasi wanajua nini ambacho mtu kama Donald Trump na Robert Kiyosaki hawajui? ama wanapesa nyingi sana kuliko Warren Buffet na Donald Trump? Pengine wana nafasi ama mamlaka kuubwa kuliko aliyowai kuwa nayo Bill Clinton? Labda ni wasomi sana au wachumi kuliko Paul Zane Pilzer na Dr Charles King? au maarufu sana kuliko Robert Kiyosaki?

Pengine wananafasi katika jamii yetu kuliko alizowai kuwa nazo mtu kama Juma Kapuya, au Mbunge wa Dodoma Mjini, ama alizonazo Mch Getrude Rwakatare, lakini ikiwa huna pesa kuliko Warren Buffet au Donald Trump, fikiri mara mbili juu ya fursa hii, ama hunayo au huna elimu kama Prof Paul ZanePilzer na Dr Charles King, tafakali, au hunazo au huna nyadhifa kama alizowahi kuwa nazo Bill Clinton, chukua hatua.

Afrika Mashariki kuna watu wasiozidi laki moja walioamua kufanya fursa hii, hawa ndio wanaofurahia kila siku inapotangazwa kuwa shilingi imeshuka thamani, je ni kwanini wanafurahia kushuka kwa shilingi?  Jana nilikuwa naongea na dada Mmoja anaitwa Erika, yuko kwenye NWM kwa muda wa mwaka Mmoja na nusu sasa anasema, nami nanukuu, “Naomba shilingi ishuke kila siku, ifikie hata 5,000 kwa dola moja”

Kwanini anasema hivi? Network Marketers dunia nzima wanalipwa pesa zao kwa Dola za marekani, yeye mwezi uliopita alilipwa dola 6.800 na ushee hivyo kama thamani ya shilingi ilikuwa sawa na 1,700 inamaana atakuwa na zaidi ya Tsh 11.5 Millioni, na mwezi huu anatarajia kupata zaidi ya dola 7,000, je si anasababu ya kuomba shilingi izidi kushuka?  kwa nini? dola 6,800 x 5,000 (kama anavyoomba) = Milioni 34!  kwanini Wanamtandao wasiendelee kuomba shilingi ishuke?  

Katika picha ni Bwana na Bibi Kayombo, walikuwa watu wa hali ya chini, angalia maisha yao kabla na baada ya miaka miwili ndani ya Network Marketing, jiulize hawa wamewezaje na wewe washindwaje? tuna bahati sana kuwa wakazi wa zama hizi za habari, tumerahisishiwa vitu vingi sana ikiwamo namna ya kutafuta ukweli wa jambo kwa kupitia ICT, tujaribu kutafuta ukweli wa jambo lolote tukutanalo badala ya kulidharau na kupuuza tu. 








Picha kwa hisani ya Bw na Bibi Kayombo Success Day Presentation.

Mawasiliano 0784475576.



Fuatilia mjadala wa Jamii Forum HAPA.

No comments:

Subscribe via email

Pata nakala ya mada hizi moja kwa moja katika email yako hapa.

Delivered by FeedBurner

SUCCESS

If these qualities describe you...

1. Self Motivated

2. Highly Ambitious

3. Big Thinker

4. Entrepreneurial

5. Not Willing to Settle for Less

6. Goal Oriented

7. Want to Be Your Own Boss,

8. Want to Live a Life by Design

9. Confident in Making Decisions

10. 200% Committed to change your life within the Next 6-12 Months. You read that right - 200%!!

...then, subscribe to the email ABOVE to contact us ASAP to get:-

• A success—and achievement—oriented articles

• Success quotes to motivate and inspire you

• Special offers on new and best-selling personal achievement resources

• Occasional articles from World renown top experts in personal achievement.