I am a CHAMPION!

I will conquer what has not been conquered, defeat will not be in my creed,

I will believe what others have doubted,

I will always endeavor the prestige, honor, and respect of my team,

I have trained my mind and my body will follow,

Who am I?

I am a CHAMPION!

Facebook

Tuesday, October 18, 2011

Biashara ya Masoko ya Mtandao


Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni au shirika fulani, ungekuwa wapi leo hii kimapato?

 Labda ujanielewa vizuri, Je unaweza kukumbuka leo hii ni marafiki, ndugu au jamaa wangapi umewashauri juu ya ubora au uzuri wa bidhaa au huduma fulani tangu uanze kutumia huduma au bidhaa zao?

 Fikilia kwa mfano unatumia huduma ya simu ya kampuni A, kwa ubora wa huduma zake umewashauri ndugu zako kadhaa, au marafiki zako ama pengine umeshawishi ofisi ijiunge na huduma ya kampuni hiyo, tena bila malipo, bure kabisa na wala kampuni haijui uwepo wako, je waweza kumbuka idadi ya watu uliowashauri?

 Labda watu 100 kwa miaka kama mine au mitano toka ujiunge na kampuni A, tena wengine wamehama kampuni zao za zamani, sasa fikilia kama kampuni A simu  ingeamua kutambua huduma yako hiyo, ya kushauri watu kujiunga na huduma zao nzuri, wakaamua kuwa watakuwa wanakupa sh 100 kwa kila sh 1000 ya watu hao mia watakazotumia, je ungekuwa na sh ngapi kwa siku au mwezi na hatimaye mwaka?

 Hebu tufanye hesabu rahisi kidogo, ikiwa kila Mmoja atakuwa anatumia sh 1000 tu kwa siku ina maana utapata sh 100 x 100 kwa siku sawa na 10,000/- sawa na Sh 300,000 au 3600000 kwa mwaka, hiki ni kipato cha ziada kutokana na wewe kuwashauri watu 100 tu kwa miaka mine, je ungepata kiasi gani kama utakuwa na watu 500 au zaidi.

 Kumbuka, hapa ujamuuzia mtu simu wala ujamuuzia mtu vocha, wewe umewashauri tu nao wakaamua kuingia katika mtandao uliopo na kampuni A ikakulipa kiasi hicho cha pesa, pengine wadhani hii haiwezekani, lakini maishani mwetu tunafanya hivi kila siku, twashauri watu saluni nzuri, hoteli nzuri, simu, kampuni nzuri ya simu, hospital nzuri, dokta mzuri mwanasheria mzuri, kinywaji kizuri, nk. hatulipwi.

 Lakini katikati yetu wapo wanaolipwa kwa kushauri watu kutumia huduma ama bidhaa za kampuni hii au ile na kujipatia kipato kizuri cha ziada kufikia na kuzidi Milioni 30 kwa mwezi, ndio Milion 30, hii ndio inaitwa “work smarter not harder”, fikilia mtu huyu atakuwa na pato gani kwa mwaka au miaka kadhaa?

 Hawa ni wafanya Biashara ya Masoko ya Mtandao, wako mamilioni duniani na idadi ikiindelea kuongezeka kila uchao, uwaoni lakini wako kila pahala, pengine ni jirani yako au mfanyakazi mwenzio au bosi wako, hii ni aina ya biashara ambayo mtu yeyote wa kipato chochote anaweza kuwekeza kiasi kidogo cha pesa na kupata kipato kinachopanda kwa kasi hata kufikia kuwa na uhuru wa kipato.

 Ndio maana ya Mtandao, walipwa kwa kuwasidia, kuwaongoza na kuwafundisha  wengine kuanzisha biashara zao, kuwasaidia kufikia malengo yao na hatimaye uhuru wa kipato, hivyo wanamtandao ulipwa muda wao wanaotumia kuwasaidia na kuwaongoza wengine.

Hii ndio njia inayopendekezwa na wataalumu wa uchumi waliobobea kuwa mkombozi pekee kwa watu wa hali ya chini kuwekeza na kufikia kuwa na Uhuru wa Kipato.  

Nukuu mbalimbali toka kwa watu maarufu, wasomi na watawala kuhusu Biashara ya Masoko ya Mtandao



“You strengthen our country and our economy not just by striving for your own success but for offering the opportunity to others” Bill Clinton



“Network Marketing has proven itself to be a viable and rewarding source of income. There have been some remarkable examples of success” Donald Trump


“Network Marketing has produced more Millionaires than any other industry in the history of the world” Les Brown 


“When I read in the Fortune Magazine, that Warren Buffet, the Billionaire Investor was investing in Direct Sales (Network Marketing) I decided I was missing something” David Bach



“In today’s world working for yourself is actually the safer route, and working for a corporation has become the riskier propositions” Paul Zane Pilzer



“Network Marketing gives people the opportunity with very low risk and very low financial commitment to build their own income-generating asset and acquire great wealth” Robert Kiyosaki






Tuwasiliane kwa maoni, ushauri au maswali yoyote, brwebangira@gmail.com, 0716927070, 0784475576. 


Wishes you all the best. 

No comments:

Subscribe via email

Pata nakala ya mada hizi moja kwa moja katika email yako hapa.

Delivered by FeedBurner

SUCCESS

If these qualities describe you...

1. Self Motivated

2. Highly Ambitious

3. Big Thinker

4. Entrepreneurial

5. Not Willing to Settle for Less

6. Goal Oriented

7. Want to Be Your Own Boss,

8. Want to Live a Life by Design

9. Confident in Making Decisions

10. 200% Committed to change your life within the Next 6-12 Months. You read that right - 200%!!

...then, subscribe to the email ABOVE to contact us ASAP to get:-

• A success—and achievement—oriented articles

• Success quotes to motivate and inspire you

• Special offers on new and best-selling personal achievement resources

• Occasional articles from World renown top experts in personal achievement.