Je wajua kwamba waweza kulipwa kiasi chochote pesa upendacho kwa mwezi kwa kazi ya kushirikisha ama kujulisha watu wengine taarifa ama jambo fulani?
Ndio, ni wewe wa kupendekeza kiwango cha pesa unachotaka, pengine yawezaonekana ni tofauti na mazoea, lakini huu ndio mpango wa Mungu kwa wateule wake, Katika kitabu cha Mwanzo 29:15 na 30:28 tunamuona Bosi Labani akimtaka Yakobo (Israel) Mwajiriwa aseme mshahara wake yeye mwenyewe.
Huu ndio mpango wa Mungu tangu kuumbwa kwa ulimwengu na mwajiri yeyote anayethamini kazi yako, ujuzi na elimu yako ndivyo anatakiwa kufanya, ni haki yako kupanga kiwango cha ujira wako.
Binadamu tuna Maono, Ndoto au Malengo tofauti maishani, na haya ndio yanayotutofautisha katika kutafuta na kufanikiwa kwetu, wapo wanaodhani hawaitaji pesa nyingi, wanadhani hata Laki moja kwa mwezi yatosha lakini wapo wenye malengo makubwa ya kuwa ata Baraka kwa wengine ambao wanaona Milioni kumi au ishirini hazitoshi, bila shaka Mwenyezi Mungu aliweka mpango huu akiwa na fikira za makundi hayo tofauti, alijua kabla.
Historia uwa inajirudia, Zama hizi za Taarifa (Information Age) imekuja na Changamoto nyingi lakini na fursa pia, moja wapo ni hii ya kujipangia ujira mtu atakao, ni wakati wetu sasa kujipangia ujira kwa mujibu wa mpango wa Mungu, twakuuliza Je ungependa ulipwe kiasi gani kwa mwezi kwa kazi ya kushirikisha ama kujuza watu habari njema Fulani?. Kumbuka SHARING IS CARING.
Habari njema ni kwamba kazi hii waweza kuifanya mahali popote wakati wowote na mtu yeyote pasipo kukulazimu kuacha kazi au biashara uifanyayo sasa, waweza tumia simu, mtandao au mawasiliano ya moja kwa moja, iwe nyumbani, njiani au hata kwenye daladala.
Hii ni fursa kwa yeyeto anayependa kujipangia ujira wake kwa siku, mwezi au mwaka, wasilinana nasi, sema kiasi gani ungependa ulipwe kwa Kushirikisha/kusambazia watu wengine habari Njema juu ya jambo fulani, yaweza kuwa ni Fursa, Huduma au Bidhaa, chochote kile ambacho chaweza kuwa msaada kwa mtu mwingine.
tuma email: winnersstreet@gmail.com, simu: 0784475576
No comments:
Post a Comment